Mikopo ni halali kwa kila mwanafunz hapa tanzani, lakini cha ajabu ni wachache wanaonufaika na mikopo hii ingali siyo ya bure kwani utahitajika kurejesha.
Cha kushangaza hata wale waliopata hawapewi kwa wakati unaotakikana kwani Vyuo binafsi wanacheleweshewa sana. Hivi TANZANIA tunakwenda wapi jamani? Mbona mnatunyanyasa sisi watoto wa walala hoi? JAMANI BADILIKENI? Au mnataka tuibe tuishie jela? Mbona watoto wenu wanasoma kwa raha lakini? BASI BORA MTUNYIME KABISA. MIKOPO NI HAKI YETU, MSITUNYIME ZITAWABANA KOO KAMA CCM.
No comments:
Post a Comment